T thefarmer Member Jun 13, 2023 19 41 Sep 16, 2023 #1 Habarini WanaJamii nilikuwa naomba kupata kujua bei ya tambi za kupima hapa Dar es salaam. Na je zile za pakti za dukan nazo ni bei gani. Asanten sana in advance
Habarini WanaJamii nilikuwa naomba kupata kujua bei ya tambi za kupima hapa Dar es salaam. Na je zile za pakti za dukan nazo ni bei gani. Asanten sana in advance
Crocodiletooth JF-Expert Member Oct 28, 2012 18,746 21,148 Sep 17, 2023 #2 Bei huwa zinatofautiana kidogo mno!. 100-200/-. Mwenye ujuzi wa kutengeneza tambi za kupima atusaidie hapa!
Bei huwa zinatofautiana kidogo mno!. 100-200/-. Mwenye ujuzi wa kutengeneza tambi za kupima atusaidie hapa!