:Bei ya soya.Pia naziuza

:Bei ya soya.Pia naziuza

Joined
Feb 9, 2020
Posts
5
Reaction score
3
Salam!
naomba kujua bei ya soya au kwa anae zitaka nipo kilimanjaro mamsera huku bei ni kandamizi sana.

ASANTENI KWA WATAKAO NISAIDIA
 
Kwa aina hii ya matangazo, ninyi ndio mnajikosesha wateja.
Kwanza haujaweka wazi bei unayo taka kuijuwa ni kwakipimo/kiasigani cha soya.
Unapo sema kwa anae zitaka upon Kilimanjaro, hapa mimi sioni seriousness ya biashara yako kwasababu haujaweka mawasiliano na unajiweka upande wa kwamba wewe hauna haja ya kuuza bali kwa anaetaka ndio akutafute.
Sijaona hata ukisema wazi ni ngapi bei kandamizi unayo imaanisha.
Na kwa uandishi wa maandishi mekundu, hii kidogo imenitia shaka na nikama alama/ishara ya kuchukuwa tahadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekani hajui kutoa tangazo hivyo ni kwenda nae polepole tu

Qn
 
Kwa aina hii ya matangazo, ninyi ndio mnajikosesha wateja.
Kwanza haujaweka wazi bei unayo taka kuijuwa ni kwakipimo/kiasigani cha soya.
Unapo sema kwa anae zitaka upon Kilimanjaro, hapa mimi sioni seriousness ya biashara yako kwasababu haujaweka mawasiliano na unajiweka upande wa kwamba wewe hauna haja ya kuuza bali kwa anaetaka ndio akutafute.
Sijaona hata ukisema wazi ni ngapi bei kandamizi unayo imaanisha.
Na kwa uandishi wa maandishi mekundu, hii kidogo imenitia shaka na nikama alama/ishara ya kuchukuwa tahadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu huku bei ni 7000 kwa sado bei halali ni 12k mawasiliano shukurudenis0012@gmail.com
Samahani kwa makosa machache mkuu
 
Back
Top Bottom