Nitafute mimi nipo Zenji tujenge maishaWakuu naomba kujua uhalisia wa bei za simu used zanzbar, maana nikiangalia kwenye page mbalimbali insta bei yake ndogo Sana mfano Samsung s10+ kwa laki nne. Nilipouliza page moja utaratibu wameniambia et nalipia af natumiwa risiti na kwenda kupokelea mzigo airport. Nahisi Kama ni matapeli.
Naomba kujua hawa watu sio matapeli, mfano wa insta page mobile_phones_uk
Na kwanini wanauza Bei ya chini wanazichukua wap kwa njia gan
Matapeli wa Dar kimbia mkuuWakuu naomba kujua uhalisia wa bei za simu used Zanzbar, maana nikiangalia kwenye page mbalimbali insta bei yake ndogo Sana mfano Samsung s10+ kwa laki nne. Nilipouliza page moja utaratibu wameniambia et nalipia halafu natumiwa risiti na kwenda kupokelea mzigo airport. Nahisi Kama ni matapeli.
Naomba kujua hawa watu sio matapeli, mfano wa insta page mobile_phones_uk
Na kwanini wanauza Bei ya chini wanazichukua wapi kwa njia gani?