Bei ya sigara mtaani kwako ipoje?

Bora ungeongelea bhangi tungekuelewa. Nani anavuta sigara karne hii kama si wapiga debe na wanywa wanzuki? Watu tunakata issue za kimataifa hapa unatuletea upumbavu wa sigara? Kafue nguo za shule. Bwege wewe
Mbona povu mkuu, punguza stress. Sasa wewe ukivuta bangi unataka kila mtu avute bangi? Wewe unekuwa nani? Anyway hongera kwa kufanya issue za kimataifa.
 
Usipate shida chukua majani ya mahindi makavu viringisha kama kipisi cha sigala vuta tu utakuwa ushapata sigara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…