Wakuu naomba estimate price ya side mirror, nimevunja ya kulia baada ya kupigwa pasi na coaster.
Kama kuna mahali naweza pata bila longo longo naomba maelekezo, nipo dsm!
Nenda Kariakoo mtaa WA shaurimoyo unaweza kupata..
Hapa DSM sikuzote bei ya spare parts inategemea na jinsi mwenyewe ulivyo kama itaenda kuuliza bei huku umechomekea utapigwa Tu.