sio uvivu namtetea biashara siku izi ni mtandao pengine atapita muuzaji humu wakaelewana bei akamtumia hata kwa bus au pia ni vyema akajua bei ili apange budget
Seat cover za rav4 dukani hakuna isipokuwa iwe loose cover uvalishe ya gari yoyote. Kama unataka ya kushonesha Mimi ni fundi. Ni tsh 190000. Nitafute 0713917472 nikutumie picha