Bei ya pikipiki aina ya Boxer BM 150

Write your reply...naomba msaada wa kupata mawasiliano yako kaka
 
Upo boss?
 
Hivi boxer kwasasa Dar,zitakua shilingi ngapi.....?
 
mkuu boxer bm 125 na boxer bm 150 kwa sasa ni million 2.65 au 2.75 kwa mawakala..ukienda kwa mo mwenyewe karibu na mataa ya kamata kama unaelekea kigamboni ndocheap ambapo hutofautiana bei na mawakala kwa laki moja tu....

0763 452 031 JULIUS huyu ni sales pale kwa MO ukimcheki atakupa bei zote pamoja yupogo busy kidogo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…