Mambo vp wajasiriamali?
Naomba kujua bei na wauzaji wa nyaya za uzio, na mikoa muuzaji anayoweza kufikisha mzigo.
Nataka zile za muundo wa mkeka (sio senyenge).

Kwa hiyo ni kujiokotea kama maparachichi? Mpaka sasa sijapata muuzaji/msambazaji anayeeleweka.Tukuyu mbeya zipo za kutosha mkuu