Upande wa kupe co kweli sababu hatuchungi Ng’ombe wanaokuja na nyasi wachache sana kuogesha ni ratiba tu unaweka dawa kibao na serikali imefuta kodi kwenye dawa za mifugoBora ukafuga hata kitimoto endapo utakuwa mkiristo kuliko hao ngombe.(samahani)
usipowaogesha dawa na wao wakangatwa na kupe anayesababisha ugonjwa wa (ndagama) mwezi mmoja Ni mwingi Sana utaamka na mzoga.
wanahitaji matunzo ya Hali ya juu ili watoe faida unayoitaka wewe kinyume na hapo utakuwa umejiongezea majukumu yasiyo na msingi.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Ni kweli mkuu Ila kupe anaweza akasafiri toka sehemu moja Hadi nyingine. mfano kwa hapa Moro Kuna wamasai wanaofuga ngombe wa kawaida Sasa hawa wanakuwa na kupe. Kama eneo alilopo ngombe wa maziwa Lina kawaida ya kupita ngombe wa kawaida lazima na yeye apate kupe tu. ndo maana wanaogeshwa kila baada ya muda fulani.Upande wa kupe co kweli sababu hatuchungi Ng’ombe wanaokuja na nyasi wachache sana kuogesha ni ratiba tu unaweka dawa kibao na serikali imefuta kodi kwenye dawa za mifugo
Good advice, though kufuga nguruwe ni kitu nimefikiria kufanya pia.
That's coolStick kwenye vision yako epukana na wakatishaji tamaa, ukiamua kufuga chochote kile lazima ujiandae kwa matibabu na usafi, hata hao nguruwe wanahitaji matibabu, kuku wanahitaji matibabu, hakuna mfugo usiohitaji matibabu kuna walioanza na nguruwe baadae wakaamia kufuga ng'ombe. Ukisikiliza watu hasa humu mitandaoni hutofanya chochote kwa sababu kila mmoja ana mtizamo wake.
Kama uko ifakara fuga nguruwe mkuu wape pumba za mpunga mix na za mahindi,achana na ngombeGood advice, though kufuga nguruwe ni kitu nimefikiria kufanya pia.
Ng'ombe wa maziwa wanapatikana katika mkoa wa mbeya wilaya ya Rungwe, ng'ombe mmoja anaweza toa lita 15 asubuhi na 13 jioni ivyo kwa siku inaweza toa lita 28 na kuendelea, ikumbukwe kwamba anazaa baada ya miez 9 anaanza kukamuliwa siku hiyo hiyo Lakin baada ya siku Tatu ndipo maziwa yanaweza kutumika na kuuzwa, kama anapata malisho bora, madini na mazingira safi atapata joto tena baada ya miez miwili na kupandwa na atakamuliwa mpaka mimba ifike miezi saba ataachishwa kwajili ya kumwandaa kuzaa tena. Wanapatikana kwanzia 1.5 kuendelea kama utahitaji mawasiliano zaidi namba zangu ni 0756416149, 0717847599. Nipo rungwe karibu saana namba ya voda ipo watsap hata picha ntakurushia kama utahitajiHabarini watu wa nguvu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Eti ng'ombe wa maziwa anaweza akawa anauzwa shilingi ngapi na naweza kumpata wapi (mimi nipo Morogoro), vipi kuhusu uzalishaji wa maziwa, anatoa lita ngapi kwa mkamuo mmoja na Je sehemu gani naweza nikauza maziwa yakaisha kwa haraka, hata kama ikiwa ni mkoani.
Natumaini majibu mazuri kutoka kwenu.
Ahsante kaka kwa ushirikiano wakoNg'ombe wa maziwa wanapatikana katika mkoa wa mbeya wilaya ya Rungwe, ng'ombe mmoja anaweza toa lita 15 asubuhi na 13 jioni ivyo kwa siku inaweza toa lita 28 na kuendelea, ikumbukwe kwamba anazaa baada ya miez 9 anaanza kukamuliwa siku hiyo hiyo Lakin baada ya siku Tatu ndipo maziwa yanaweza kutumika na kuuzwa, kama anapata malisho bora, madini na mazingira safi atapata joto tena baada ya miez miwili na kupandwa na atakamuliwa mpaka mimba ifike miezi saba ataachishwa kwajili ya kumwandaa kuzaa tena. Wanapatikana kwanzia 1.5 kuendelea kama utahitaji mawasiliano zaidi namba zangu ni 0756416149, 0717847599. Nipo rungwe karibu saana namba ya voda ipo watsap hata picha ntakurushia kama utahitaji
Inashuriwa kuchanganya. Nguruwe Wana homa yqo ikija wanakufa banda.lote utamkumbuka ngimbeStick kwenye vision yako epukana na wakatishaji tamaa, ukiamua kufuga chochote kile lazima ujiandae kwa matibabu na usafi, hata hao nguruwe wanahitaji matibabu, kuku wanahitaji matibabu, hakuna mfugo usiohitaji matibabu kuna walioanza na nguruwe baadae wakaamia kufuga ng'ombe. Ukisikiliza watu hasa humu mitandaoni hutofanya chochote kwa sababu kila mmoja ana mtizamo wake.
Pie unaweza tenga ukapata sehemu ya malishoEneo ni kubwa maana nafasi ya Banda ni ndogo tu kwa Ng’ombe wa kisasa ni Zero - grazing labda sehemu ya kuhifadhi mbolea na Nyasi za akiba
Mkuu haohao kupe wachache wanaokuja na nyasi wanaweza kuleta ugonjwa kwa ng'ombe pia sio mpaka uchunge.Upande wa kupe co kweli sababu hatuchungi Ng’ombe wanaokuja na nyasi wachache sana kuogesha ni ratiba tu unaweka dawa kibao na serikali imefuta kodi kwenye dawa za mifugo
Mkuu naona umesahau, kuna ng'ombe wengine mpaka maziwa kutakata na kufaa kutumiwa ni zaidi ya siku tatu tangu kuzaaNg'ombe wa maziwa wanapatikana katika mkoa wa mbeya wilaya ya Rungwe, ng'ombe mmoja anaweza toa lita 15 asubuhi na 13 jioni ivyo kwa siku inaweza toa lita 28 na kuendelea, ikumbukwe kwamba anazaa baada ya miez 9 anaanza kukamuliwa siku hiyo hiyo Lakin baada ya siku Tatu ndipo maziwa yanaweza kutumika na kuuzwa, kama anapata malisho bora, madini na mazingira safi atapata joto tena baada ya miez miwili na kupandwa na atakamuliwa mpaka mimba ifike miezi saba ataachishwa kwajili ya kumwandaa kuzaa tena. Wanapatikana kwanzia 1.5 kuendelea kama utahitaji mawasiliano zaidi namba zangu ni 0756416149, 0717847599. Nipo rungwe karibu saana namba ya voda ipo watsap hata picha ntakurushia kama utahitaji
Vp ulishaanza ufugaji?Habarini watu wa nguvu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Eti ng'ombe wa maziwa anaweza akawa anauzwa shilingi ngapi na naweza kumpata wapi (mimi nipo Morogoro), vipi kuhusu uzalishaji wa maziwa, anatoa lita ngapi kwa mkamuo mmoja na Je sehemu gani naweza nikauza maziwa yakaisha kwa haraka, hata kama ikiwa ni mkoani.
Natumaini majibu mazuri kutoka kwenu.
Nitafute kwenye namba 0756416149Niko Moshi naomba connection ya ng'ombe wa maziwa