coco beach ndio wapi?
Watu wa Dar njaa kweli sisi wa Kaskazini hatulagi mambo ya mishikaki, unakuta ng'ombe katundikwa unawambia wakukatie upande gani unataka kwa kilo au mbuzi mzima katundikwa unaagiza mguu, kidali, mkono au mbavu ikiletwa unakula tumbo juu na kuteremshia maji ya dhahabu. Kama ni kuku ni wale wa kienyeji chapa Singinda na Manayara. Mshikaki utasikia nini
coco beach ndio wapi?
wewe unakula kwa njaa.....wenzio tunakula kwa hamu tu......hatuendi coco au sehemu ingine kushiba nyama....mbuzi mzima wa nini kama sio umero bin uroho tu......
Upande gani huo maana kuna mtu kaniambia eti bei zimebadilika au na sie tumepigwa changa la macho...