Bei ya mpunga na mahindi kwa sasa ipi?wapi?

Malingumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
616
Reaction score
433
Habarini... jamani mwenye uelewa kuhusu bei ya chini zaidi ya gunia la mahindi au/na mpunga kwa mkoa wowote naomba anijulishe,ninataka fanya uhifadhi wa tani kadhaa kwa sasa,hivyo nikinunua mahala kwa bei rahisi kidogo itafaa..

Karibuni....
 
Mpunga elfu 60000 Morogoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…