Bei ya modem za vodacom

Bei ya modem za vodacom

Ultimate

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
739
Reaction score
1,890
Hellow bosess'
naomba kujua ni kiasi gani ina cost kununua modem mpya ya vodacom kwenye maduka yao
 
Hellow bosess'
naomba kujua ni kiasi gani ina cost kununua modem mpya ya vodacom kwenye maduka yao
Bei za bundle zinabadilika kila siku. Kuna siku utajikuta umebanana na upo kifungoni kwenye shilingi 500-70MB
Chukua Universal modem au modem ambayo inaweza kuwa-unlocked ukatumia mitandao yote mfano Modem ya airtel inachakachulika E8231S-1
Kabla ya kununua angalia uwezo wake na pia inaweza kuchakachulika?
KUTUMIA KIFAA KINACHOSUPPORT MTANDAO MMOJA NI NZURI ILA UKITUMIA KINACHOSUPPORT MITANDAO YOTE INAKUWA NZURI SANA.
BEI SIJAJUA KWA SASA. YANGU NILINUNUA 30,000 ENZI ZILE SIJUI KWASASA
 
Back
Top Bottom