Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
Huko ni bei gani kwa gunia/roba.Naomba kujuzwa bei ya mkaa huko Jijini Dar es salaam.
Labda tuwaulize.. sister Apologise lady miss chagga lady furahia mamaafacebook farkhina..na wadada wengine wa JF...
Mkuu mimi nakula mama ntilie..sijawahi kupika geto..ni kwa ajili ya kulala tu...
Mmmh!!!! mimi natumia kuni kwa kwel, bado sijafikia hio stage ya mkaa. watakuja kukujuza.
25,000/- halaf basi bua tupu ukiuwasha jivu tuu namvua zinzonyesha utazidi kupanda
Huogopi amira kwa mama ntilie????????
Lile roba kubwa?
uwashaji wa mkaa kero tupu pili majivu yanachafua mazingira na zile vumbivumbi za mkaa ndiyo balaa kwa kuharibu mazingira.....dar watu wameanza kushtuka na kukimbilia gesi mkuu. si biashara nzuri....labda kama ni makaa ya mawe.
Unaishi mkoa gani??
Amira ndio inatufanya tuishi mjini sisi walala hoi..kwani ukila ubwabwa mchana shibe yake ni mpaka kesho yake jioni...