Bei ya mitumba grade A Tanzania shilingi ngapi?

Bei ya mitumba grade A Tanzania shilingi ngapi?

sizonjemadawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2017
Posts
1,052
Reaction score
1,306
Wakuu heshima kwenu,

Kwa mtu ambaye anafahamu au anaifanya biashara ya nguo za mitumba iwe kwa kuagiza nje au ndani ya Tanzania naomba anisaidie. Bei ya nguo za mitumba grade A kwa Tanzania tsh ngapi? Utaratibu wa ku import second hand clothes ukoje? Kama yupo namuomba pm tafadhali.
 
Tupo wengi tunaotakakujuwa mkuu,aje hapa atuambie akitoka kuku PM
 
Back
Top Bottom