Nasikia wahindi wameanza kulima mbaazi huko kwao mwaka huu...Bei imeporomoka mara dufuuuu Mwaka huu wakulima wa mbaazi si tutakufa na njaa aieeeeee.....
Bei za mwaka huu ni kati ya Tsh 200 na 300 wahindi wamegoma kununua kwani nao wamezalisha sana mwaka huu. Kumbuka bei ya mbaazi ni 200-300 , na bei ya chupa tupu sh 450 hapo unachagua kipi ?