Umeandika kwa mikogo na matusi as if TZ government as shown a road map or atleast succeed revamp one sector which can be taken as example. Hayo makelele na matamko yote ysnayofanywa na hao wanaojinasibu kuwa ni vichaa si mkakati thabiti wa kuijenga na kuinua sector ya ufugaji bali ni virungu tu ili ionekane watu wako shughulini.Tatizo lako huoni picha kubwa, look at the big picture, tunachofanya kwa sasa ni kuvunja ile ' vicious cycle'. Tutakapoweka hivi vikwazo ni kwamba watu wengi sasa watahamasika kufuga kisasa (Zero grazing) ili kuweza kuziba pengo kubwa litakalojitokeza (demand ndio asset kubwa iliyopo),kweli mwanzoni tutaumia kwani kutatokea upungufu mkubwa wa maziwa na yalipo yatauza bei kubwa sana ( demand vs supply) na bila shaka kila mti mwenye mtaji atavutiwa sasa kujitosa katika ufugaji bora wa kisasa ( sio wa kienyeji) ambao utazalisha maziwa bora na kwa wingi ili kuzina pengo kwenye soko, kiwango cha supply na demand kikisha stabilize basi bei itashuka na tutakuwa 1.) tumeongeza ajira kwa kiasi kikubwa 2.) Tutakuwa tumeokoa hizo bilionj 160 pesa ya kigeni kuagiza maziwa 3.) Tutaongeza ukusanyaji wa kodi 4.) Tutapunguza utapiamlo kwa watoto 5.) Uchumi kwa ujumla wake utakuwa. Hivi mnawekaga konokono humo vichwani au huwa mnajitoa akili kwa makusudi?
Sheria nzuri fursa kwa wafugaji
Zaidi utaambiwa vinalindwa viwanda vya ndani/ wanalindwa wazalishaji wa ndani...Shughuli pevu, nini kipo nyuma ya hii
Tanzania kwa sasa hatuna dairy farms, hivyo uzalishaji unategemea watu binafsi ambao wanazalisha Kiwango ambacho si kikubwa ku sustain kiwanda kwa mwaka mzima, Kwa miezi ya March hadi june maziwa ni mengi sana na yanaharibika kwa sababu hatuna storage facilities na reliable transport kuyatoa yanakozalishwa hadi kiwanda kilipo.Hivyo spoilage ni kubwa sana msimu huoKwanini uagize maziwa toka nje ya nchi ilihali Tz inaongoza kwa kuwa na ng'ombe Afrika? Huoni kama kwa kuagiza maziwa unaua viwanda vya ndani kama vya Azam, Tanga fresh, Dar fresh na wengine? Napendekeza kodi ipandishwe mara 100 zaidi ili kuinua viwanda vya ndani. Ukiimport maziwa pia una export ajira
Msameheni mtoa mada, maesabu yamekaaa kushoto sanaHizo asilimia kama sijazielewa hivii,.