kinywanyuku JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 3,861 Reaction score 3,097 Feb 14, 2017 #1 Wadau wa JF poleni, Kwa kazi nilikuwa nauliza mashine za kutengenezea tambi kama za santa luccia naweza kuzipata wapi na kwa bei gani.
Wadau wa JF poleni, Kwa kazi nilikuwa nauliza mashine za kutengenezea tambi kama za santa luccia naweza kuzipata wapi na kwa bei gani.