Joseph midimu
JF-Expert Member
- Mar 8, 2024
- 234
- 428
Nchi 16 hauhitaji kitanda. Ni refu sanaNiliagiza Godoro Dodoma Nchi 16
Na enjoy sanaaa...!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Sh ngapi Hilo comrade,na uliagiza wapi NAMI nalitaka.Niliagiza Godoro Dodoma Nchi 16
Na enjoy sanaaa...!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kitanda cha chaga kipo chini.Nchi 16 hauhitaji kitanda. Ni refu sana
Nenda kwa "ma-saplaya" wa jumla wale..Sh ngapi Hilo comrade,na uliagiza wapi NAMI nalitaka.
Bado hujajibu swali!Niliagiza Godoro Dodoma Nchi 16
Na enjoy sanaaa...!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Bado hujajibu swali!Tanfoam Arusha
Bado hujajibu swali!Mm uwa navizia mzimu wa offer nazama tanfoam, comfy kujizolea kwa furaha magodoro mazuri mfano jtatu ya 7
We we umeagiza,kuniambia unaona taabu? Wabongo Kwa staili hii hata tukikutana nje ya nchi hatuwezi kusaidiana,kama bei ya magodoro tu,tunashindwa kuambiana.Nenda kwa "ma-saplaya" wa jumla wale..
#YNWA
#YANGA_BINGWA