Bei ya machine ya interlocking blocks

Mangungo II

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
18,117
26,675
Wanajamvi naomba kujua bei za hizo mashine tajwa kwa mwenye kujua .

Nimejaribu kugugo Ila sijaridhika na nilichokiona .

Msaada tafadhali
 
Mashine zile za welding(kuchomelea) na zenyewe bei gani? Wakuu
 
Wanajamvi naomba kujua bei za hizo mashine tajwa kwa mwenye kujua .

Nimejaribu kugugo Ila sijaridhika na nilichokiona .

Msaada tafadhali

Pale Millenium Business Park Ubungo zipo. Bei ya manual ni Tzs. 3 million na Hydraulic ni 33 million-Wanaitwa Nile Machines. Namba ya Mchina mwenyewe ni 0654910708, anaitwa Sam Du.
Bei zilizoko kwenye post ya zamani zilishapitwa na wakati.

ELIMU KIDOGO: Kuna aina mbili za interlocking bricks/ blocks kwenye soko letu; Aina hii moja inayoweza kuzalishwa na hizi machine za kichina ni bora kwakuwa zina lock mbili na vishimo tofauti na zile zizalishwazo na Hydrafoam.
 
Ivi wakuu na mashine za welding pale ubungo Millennium Park zinapatikana nijuze
 
Pale Millenium Business Park Ubungo zipo. Bei ya manual ni Tzs. 3 million na Hydraulic ni 33 million-Wanaitwa Nile Machines. Namba ya Mchina mwenyewe ni 0654910708, anaitwa Sam Du.
Bei zilizoko kwenye post ya zamani zilishapitwa na wakati.

ELIMU KIDOGO: Kuna aina mbili za interlocking bricks/ blocks kwenye soko letu; Aina hii moja inayoweza kuzalishwa na hizi machine za kichina ni bora kwakuwa zina lock mbili na vishimo tofauti na zile zizalishwazo na Hydrafoam.
Shukrani mkuu kwa msaada wako
 
Kama unataka hiyo mdogo ya manual unaweza kupata mahali flani pale mwenge bei ilikuwa 420,000/=
 
Mimi ninayo naiuza laki tano mpya kabisa sijaitumia. Mradi ulikufa kabla ukiwa katika hatua za kuanza..
 
Mwenge sehemu gani mkuu?
Kuna taasisi ambayo iko chini ya shirika la nyumbani NHC wako pale mwenge karibu na geti la kuingia ile kambi ya jeshi kabla hujafika kwenye taa barabara ya Sam nujoma.
 
Mwenge sehemu gani mkuu?

Kama Hujanunua hiyo machine toka pale NHBRA Mwenge, nakushauri usinunue wala usijaribu UNLESS WAWE WAMEBADILI QUALITY.
Mimi nilifanya utafiti juu ya teknolojia hii miaka 10 iliyopita kwa kununua machine toka hapo Mwenge na nyingine pale UDSM lakini zote ziko chini ya kiwango na hazikuweza kuleta matokeo mazuri, japo nilihangaika kuzirudisha kwao kurekebisha, ikashindikana na baadae nikazirekebisha mwenyewe bila mafanikio. Ni kupoteza fedha zako bure.
Za kwangu zimekaa store kwa miaka na mwishowe nikaamua kuziuza kama scrapper.

So far watu wenye kuzalisha quality machines ni China, India, Thailand, Brazil na USA.
Unaweza kupata taarifa zaidi kwenye links zifuatazo:-
Auroville Earth Institute
INTERLOCKING BRICK

Hizo link mbili zinatosha kupata msingi wa teknolojia na mashine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom