nanawoo JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 1,312 Reaction score 1,278 Sep 27, 2015 #41 Nami naulizia bei na visa ya kwenda somalia ya pwani jaman na kuna garama gani kukaa kama wiki na je hoteli za huko zikoje
Nami naulizia bei na visa ya kwenda somalia ya pwani jaman na kuna garama gani kukaa kama wiki na je hoteli za huko zikoje
Clueless14 JF-Expert Member Joined Aug 27, 2014 Posts 3,111 Reaction score 4,773 Sep 27, 2015 #42 Magody said: Jimbo ni Tennessee ni multiple entry visa Click to expand... Kwa season hii iliyopo ni Kati ya $2000 hadi $2500 return ticket kwa jimbo ulilotaja. Zaidi ya hapo ni km unaenda further West.
Magody said: Jimbo ni Tennessee ni multiple entry visa Click to expand... Kwa season hii iliyopo ni Kati ya $2000 hadi $2500 return ticket kwa jimbo ulilotaja. Zaidi ya hapo ni km unaenda further West.
Viva89 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 1,262 Reaction score 530 Sep 27, 2015 #43 Abtali mwerevu said: Kwenda marekani ni milioni 10 kwa nauli ya kwenda na kurudi... Kwa vile we ni rafiki yangu nitakufanyia millioni 8 Click to expand... nimecheka sanaaa..yani nalala nacheka leo, asante sana
Abtali mwerevu said: Kwenda marekani ni milioni 10 kwa nauli ya kwenda na kurudi... Kwa vile we ni rafiki yangu nitakufanyia millioni 8 Click to expand... nimecheka sanaaa..yani nalala nacheka leo, asante sana
ibesa mau JF-Expert Member Joined Sep 17, 2015 Posts 2,109 Reaction score 1,705 Sep 27, 2015 #44 Mwenzenu Anaulizia nauli ya kwenda USA riva
Reina princess JF-Expert Member Joined Jul 1, 2015 Posts 1,322 Reaction score 1,503 Sep 27, 2015 #45 Jf kuna vituko loh....!!
Yegomasika JF-Expert Member Joined Mar 21, 2009 Posts 13,164 Reaction score 61,272 Sep 28, 2015 #46 Preta said: Basi imeshuka......mara ya mwisho kwenda mimi ilikuwa mil 12......visa mil 3.......na nilitokea Dar-Mongolia-Alaska........nikarudi kupitia Chile....... Click to expand... Hahaaa... Yaani wewe...Hiyo route yako ilikuwa kiboko. Ukitaka kwenda tena nistue, nikupaishe na ungo wangu!.:smiling:
Preta said: Basi imeshuka......mara ya mwisho kwenda mimi ilikuwa mil 12......visa mil 3.......na nilitokea Dar-Mongolia-Alaska........nikarudi kupitia Chile....... Click to expand... Hahaaa... Yaani wewe...Hiyo route yako ilikuwa kiboko. Ukitaka kwenda tena nistue, nikupaishe na ungo wangu!.:smiling:
M mamii1 JF-Expert Member Joined Feb 1, 2015 Posts 286 Reaction score 126 Sep 28, 2015 #47 Welcome America, bei uwe na kiasi milioni 5 angalau.