Wadau nataka kununua kiwanja maeneo ya Chanika Msumbiji chenye ukubwa wa robo eka bila kujali kimepimwa au hakijapimwa,bajeti yangu ni Tsh 1.5 ml.Je naweza kupata?Naombeni mnijuze kama kipo kiwanja maeneo hayo.

njoo Kivule nikupe kiwanja chenye ukubwa wa mita 10 kwa 20 kwa milion 2 tu. Kingine ni mita 20 kwa 20 kwa milion 4. Robo heka zipo tatu. Ila kwa mil 1.5 aisee hutopata. Kivule robo heka ni milion 5.5 cash. Kama uko interested ni PM tufanye biz