Bei ya kutupa! Android TV Box for sale! Kifaa kitakachobadilisha namna unavyotumia TV yako!

Digitali

JF-Expert Member
Jan 16, 2013
424
91
Kifaa hiki ni
[h=2]Full HD 1080P
Android 4.0 Media Player Smart Google TV Box Stick with Wifi,
HDMI + USB Interface,
Support USB Flash Disk / USB Mouse / USB Keyboard / USB HUB[/h] S-EAT-0146W.jpg

S-EAT-0146W_2.jpg

S-EAT-0146W_3.jpg S-EAT-0146W_3.jpg S-EAT-0146W_5.jpg S-EAT-0146W_6.jpg S-EAT-0146W_6.jpg S-EAT-0146W_9.jpg S-EAT-0146W_10.jpg
Unachotakiwa kufanya
Chomeka hiyo stick kwa kutumia HDMI port, weka on WIFI, ingia Google Play, download apps, Anza kula maisha taratiiibu. Soma vitabu kwenye screen kubwa, Streem youtube kweye tv mwanangu, kula games, surf mtandao, Angalia pics na video zako
Bei yake Laki 120,000 tu
Tafadhali Ni PM au niandike kupitia dancateman@gmail.com, au ni call +255756637966
 
kama nnapokaa hakuna wifi connection si itakuwa ushanipasua mzee..
 
Siku hizi WIFI Sidhani kama ni tatizo ukiacha wale wenye wale Router majumbani kwao siku hizi hata ukiwa na simu ya Android tu unaweza ukaunganisha hadi device 8 ukapata WIFI vizuri sana
 
kama nnapokaa hakuna wifi connection si itakuwa ushanipasua mzee..

WIFI sio tatizo tena mkuu
Unaweza pata WIFI kwa router
Kwa simu yeyote ya Android os
Kwa mobile wireless USB Modem
Na unaweza pata hizi options kwa bei ndogo kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom