Bei Ya Kioo Cha Samsung S8

Bei ya kioo inaweza kuwa nusu ya gharama ya halisi ya simu. Maana samsung wanachoringia ni hizo panel za amoled zaidi ya hapo ni extras tu.

Hivyo jipange, but kwa ushauri ni bora uuze hio simu ilivyo kisha ununue nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…