Heshima kwenu wana JF.Naomba yeyote mwenye kujua bei ya jumla ya Red bull(Case) na sehemu ninazoweza kupata Dar es salaam.Nipo mkoani na sina mawasiliano na mtu yeyote Dar.Naomba aliye na info za hiyo kitu anijuze tafadhari.Shukurani.
wapigie simu Mohans Oysterbay Drinks Ltd Tel: 255 22 2600457 hawa ni wakala nadhani pekee wa red bull tz, kwa mjini dsm wana duka karibu na hospital ya hindu mandal dsm
wapigie simu Mohans Oysterbay Drinks Ltd Tel: 255 22 2600457 hawa ni wakala nadhani pekee wa red bull tz, kwa mjini dsm wana duka karibu na hospital ya hindu mandal dsm