Habari wakuu. Naomba kufahamu je mpunga wameanza kuvuna huko Mbarali? Vipi kuhusu bei ya gunia la mpunga huko kwa anaye fahamu kwa kipindi hiki. Shukran.

Aisee kama unataka mpunga au mchele njoo Tabora Wilaya ya Nzega...... Mpaka hivi leo bei ya gunia moja 90kg ni 55K na inazidi kushuka....jioni ya leo bei ya mchele kwenye vituo vingi ilikuwa Tsh 1200-1300

aisee ni kweli....wala sitanii....leo 16/08/2018 vituo vingi vinauza mchele kwa bei ya 950 mpaka 1050...1100 ni Mara chache sana japo bei ya mpunga bado ni 55K mpaka 60K