Makontena yana Issue... hakikisha unanunua kwenye Source za kuaminika kwani wengi wamelizwa M2 anakuuzia kisha anakuchoma kwa Police... KUWENI MAKINI!!!
EEeh haya madudu yanaibiwa sana!kuna jamaa alinunua baada ya mda mwenyewe kalifuata na polis kalichukua kiulainii!!!Alikua ameliandika jina lake kwa ndani ya plywood,walipolitoa wakakuta jina lake n anamba simu,wakalibeba kiulain+i!!