Kama sikosei Jumatano dollar ilipanda hadi kufikia $1=T Sh 1,825 sina uhakika katika siku hizi chache bei kama imepanda au kushuka na Euro najua ni more than T.sh 2,000 but I don't have the accurate exchange rate
Tembelea www.xe.com utapenda info zake!! hii inakuwa updated every minute. hata kama ni jumapili!! ila tu inakupa accurate value of dollar and other currencies. kuuza na kununua kwa bongo ni ushindani kati ya benki na benki au hzi zetu bureau de change!! hope itakusaidia mi natumia sana atleast kujua takriban kama imepaanda au kushuka. kila la kheri