Ni kweli , tena kwa rejareja inaweza kufika mpaka 7500/= kwa dose 1 tu ya mtu mzima ,nimepata dondoo kutoka ASTRA PHARMACY ambao ni kati ya importers wa hizo dawa , tayari hivi sasa kuna upungufu mkubwa sana wa dawa hizo , hasa kwa dose ya wakubwa na hata ukifanikiwa kuipata bei yake ni zaidi ya 2000/= si kama inavyotangazwa .