Blower zipo nyingi za kichina huanzia hadi 30,000 50,000 na kuendelea kulingana na eneo husika ila nyingi ni za kichina za low quality na zinasifika kwa kuungua sana, kupata nzuri ni mtihani kidogo, kama unavyojua takataka za kichina zilivyojaa maduka ya electronics na electrical hardwares.
Mac book softwares zake zipo upatikanaji wake ni kama za windows tu zipo, za free, zipo zinazouzwa na zipo ambazo ni cracked zinapatiikana katika torrent sites. ila si software zote za windows utazipata kwenye mac osx, ila unaweza install windows kwenye hiyo mac book na ukaweka softwares ambazo hukuzipata za plartform ya mac osx. Kuhusu bei zake, zipo juu.