F Frank nzoka Member Joined Aug 11, 2011 Posts 30 Reaction score 8 Jan 28, 2013 #1 Hey! habari jamani, nahitaji kununua cherehani hebu mwenye uzoefu na hizi vitu anisaidie kunipa detail yoyote kuhusu aina nzuri na bei hasa nzuri za cherehani.
Hey! habari jamani, nahitaji kununua cherehani hebu mwenye uzoefu na hizi vitu anisaidie kunipa detail yoyote kuhusu aina nzuri na bei hasa nzuri za cherehani.
wajingawatu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 2,051 Reaction score 2,463 Jan 28, 2013 #2 Hivi vitu vipo kwa wingi sana siku hizi. nenda Milimani city na kitu kama 250,000/= utapa PAFF, SINGER, BUTTERFLY, Uchaguzi ni wako
Hivi vitu vipo kwa wingi sana siku hizi. nenda Milimani city na kitu kama 250,000/= utapa PAFF, SINGER, BUTTERFLY, Uchaguzi ni wako
John L. Mihambo JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 526 Reaction score 180 Feb 5, 2013 #3 wajingawatu said: Hivi vitu vipo kwa wingi sana siku hizi. nenda Milimani city na kitu kama 250,000/= utapa PAFF, SINGER, BUTTERFLY, Uchaguzi ni wako Click to expand... Hiyo ni Analog au Digital?
wajingawatu said: Hivi vitu vipo kwa wingi sana siku hizi. nenda Milimani city na kitu kama 250,000/= utapa PAFF, SINGER, BUTTERFLY, Uchaguzi ni wako Click to expand... Hiyo ni Analog au Digital?
wajingawatu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 2,051 Reaction score 2,463 Feb 5, 2013 #4 John L. Mihambo said: Hiyo ni Analog au Digital? Click to expand... Kha, haya maneno, analog na digital,yatakuwa wimbo wa taifa sasa!
John L. Mihambo said: Hiyo ni Analog au Digital? Click to expand... Kha, haya maneno, analog na digital,yatakuwa wimbo wa taifa sasa!
T Toyotatz Member Joined May 7, 2012 Posts 6 Reaction score 0 Feb 5, 2013 #5 Hebu fafanua, wataka cherehani ya umeme au ya kawaida?
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,932 Reaction score 30,045 Feb 5, 2013 #6 John L. Mihambo said: Hiyo ni Analog au Digital? Click to expand... Neutral!!