Bei ya camera digital

Habari. naomba kufahamishwa bei digital camera mega pixel 16 canon au aina nyingine bora zaidi nahitaji kwa matumizi yangu y kawaida. Thanx.
Mkuu Nina camera digital Sony megapixels 20.1 mpya kabisa, full boxed, mm ninazo mbili Njoo nikupe moja boss

We Jamaa unapatikana wapi ?MI naweza kuinunua. Pls
 
Binafsi nahitaji camera ambayo ni hd ,nahitaji kwa ajili ya ku record kwaya, mahubili Nk, 0753487023
 
SONY original aliniachia rafiki yangu mjerumani kipindi nikiwa lushoto tanga,

Inauwezo wa ajabu kwenye kuzoom hadi umbali wa kilomita tano ipo very HD na kikibwa zaidi ina wi-fi

Ina good resolution na inarekodi vizuri naiuza 450000
 
Nicheki dm naitaka
 
km 5 duu! hizi zitakuwa za kule NATGEO TV.
 
SONY original aliniachia rafiki yangu mjerumani kipindi nikiwa lushoto tanga,

Inauwezo wa ajabu kwenye kuzoom hadi umbali wa kilomita tano ipo very HD na kikibwa zaidi ina wi-fi

Ina good resolution na inarekodi vizuri naiuza 450000
Ebhana bado unayo hii kitu?
 
SONY original aliniachia rafiki yangu mjerumani kipindi nikiwa lushoto tanga,

Inauwezo wa ajabu kwenye kuzoom hadi umbali wa kilomita tano ipo very HD na kikibwa zaidi ina wi-fi

Ina good resolution na inarekodi vizuri naiuza 450000
Mkuu kitu km zawadi aipendezi kukiuza
 
Na canon MP16 naitaji 500k tu naku achia camera

Exchange na simu Samsung,I phone. plus na cash kdgo fresh

Maelewano yapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…