Habari zenu watu mlioko Mjini.( dar & mwanza & arusha) Naomba msaada wa kufahamu bei za mabati kampuni ya alafu, hususani Gg 30 migongo midogo. napatikana Nyancheche mpakani mwa izyiko na buhororongoma... naomba mnisaidie. nahitaji pc 120. hivyo ningependa kujua angalau bei za viwandani kwanza.