ng'wanankamba JF-Expert Member Joined Dec 15, 2010 Posts 346 Reaction score 120 Apr 3, 2018 #1 Wadau naomba kujua bei ya bajaj mpya na hesabu kwa siku pamoja na changamoto ya biashara hii kwa wenye uzoefu na biashara hii.
Wadau naomba kujua bei ya bajaj mpya na hesabu kwa siku pamoja na changamoto ya biashara hii kwa wenye uzoefu na biashara hii.
Betterhalf JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 2,882 Reaction score 2,561 Apr 3, 2018 #2 Kuna wakati zilikuwa zinacheza 6m.
K kibuyu180 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2016 Posts 1,778 Reaction score 1,907 Apr 3, 2018 #3 Tvs 7M, Piaggio 6.7M kama nipo sawa. Kuhusu hesabu inategemea wapi inafanyakazi. Kwa sehem nying dar ni 20 per day
Tvs 7M, Piaggio 6.7M kama nipo sawa. Kuhusu hesabu inategemea wapi inafanyakazi. Kwa sehem nying dar ni 20 per day
Betterhalf JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 2,882 Reaction score 2,561 Apr 3, 2018 #4 kibuyu180 said: Tvs 7M, Piaggio 6.7M kama nipo sawa. Kuhusu hesabu inategemea wapi inafanyakazi. Kwa sehem nying dar ni 20 per day Click to expand... 20 per day siyo mbaya.
kibuyu180 said: Tvs 7M, Piaggio 6.7M kama nipo sawa. Kuhusu hesabu inategemea wapi inafanyakazi. Kwa sehem nying dar ni 20 per day Click to expand... 20 per day siyo mbaya.
Chiwaso JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 5,725 Reaction score 3,795 Apr 3, 2018 #5 ng'wanankamba said: Wadau naomba kujua bei ya bajaj mpya na hesabu kwa siku pamoja na changamoto ya biashara hii kwa wenye uzoefu na biashara hii. Click to expand... 7.2 milion.
ng'wanankamba said: Wadau naomba kujua bei ya bajaj mpya na hesabu kwa siku pamoja na changamoto ya biashara hii kwa wenye uzoefu na biashara hii. Click to expand... 7.2 milion.
Betterhalf JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 2,882 Reaction score 2,561 Apr 3, 2018 #6 TVS na Piaggio zipi zinabamba sana?
Prisoner of hope JF-Expert Member Joined Aug 9, 2017 Posts 2,440 Reaction score 2,575 Apr 4, 2018 #7 Betterhalf said: TVS na Piaggio zipi zinabamba sana? Click to expand... TVS ni nzuri zaidi...
H Haruna Suluo Member Joined Nov 12, 2018 Posts 15 Reaction score 1 Nov 24, 2018 #8 Kwa sasa ni mil 7 mpaka 8 unapata mpya kabisa
DesertStorm JF-Expert Member Joined Nov 22, 2015 Posts 3,184 Reaction score 2,597 Nov 24, 2018 #9 Duhh mil 8!! Bei ya gari mark x
Mkomavu JF-Expert Member Joined Jan 25, 2016 Posts 12,170 Reaction score 17,584 Nov 24, 2018 #10 DesertStorm said: Duhh mil 8!! Bei ya gari mark x Click to expand... Unapata brevis million 6 na chenchi inabaki
DesertStorm said: Duhh mil 8!! Bei ya gari mark x Click to expand... Unapata brevis million 6 na chenchi inabaki
DesertStorm JF-Expert Member Joined Nov 22, 2015 Posts 3,184 Reaction score 2,597 Nov 24, 2018 #11 Hussein Melkiory said: Unapata brevis million 6 na chenchi inabaki Click to expand... Kabisa, hawa wahuni sana
Hussein Melkiory said: Unapata brevis million 6 na chenchi inabaki Click to expand... Kabisa, hawa wahuni sana
0905 JF-Expert Member Joined Jun 29, 2016 Posts 252 Reaction score 244 Nov 26, 2018 #12 RE..million 7
researcher12 Senior Member Joined Aug 30, 2015 Posts 160 Reaction score 164 Nov 26, 2018 #13 being inategemea mahali ulipo mfano Dom ni 7 RE 7.2 TVS na Piaggio
Folota Rubber Stamp Senior Member Joined Feb 21, 2018 Posts 150 Reaction score 101 Jun 8, 2019 #14 researcher12 said: being inategemea mahali ulipo mfano Dom ni 7 RE 7.2 TVS na Piaggio Click to expand... Dom duka gani wana bei nzuri mkuu?
researcher12 said: being inategemea mahali ulipo mfano Dom ni 7 RE 7.2 TVS na Piaggio Click to expand... Dom duka gani wana bei nzuri mkuu?
researcher12 Senior Member Joined Aug 30, 2015 Posts 160 Reaction score 164 Jun 14, 2019 #15 Dom_seller said: Dom duka gani wana bei nzuri mkuu? Click to expand... Mim pia nauza ofisi yangu iko Bahiroad, ila being ya RE mpya ni 7.2 milion inakuja na jina la mteja
Dom_seller said: Dom duka gani wana bei nzuri mkuu? Click to expand... Mim pia nauza ofisi yangu iko Bahiroad, ila being ya RE mpya ni 7.2 milion inakuja na jina la mteja