bei poa transcend tb 1

bei poa transcend tb 1

Luthar

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2011
Posts
519
Reaction score
105
External transcend 1tb sawa na gb1000 bei ni poa
140000 internal tb3 na 1 zipo bei poa nipo arusha namba za simu ni hizo hapo 0755907326
 
jamaa unafanya biashara tuone sura yako au tuone picha za biashara yako??????
 
IMG_20140620_083526.jpg
 
samahani nilikuwa nafanya mpango wa kuweka picha ikaingia hiyo bahati mbaya sory
 
hiyo picha hapo juu ya nini? au tuone jamaa alivotoka kufanya uzinzi maana kuna mwanamke makalio yanaonekana kushoto hapo... nonsense
 
Luthar, Unapatikana wapi? Malipo hadi mzigo umfikie mteja/mlaji-uko tiyari?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom