Wana bodi
habari
naombeni mnijuze bei ya soko ya NISSAN XTRAIL GT ya 2002 imesajiliwa na imetumika kuanzia mwaka jana ipo hapa hapa DSM
Just bei tu wadau.
kwann unataka kujua bei tuu?...unAYO UNAUZA AU UNATAKA KUNUNUA?...KAMA UNAYO UNAUZA NA IPO FRESH NI-PM KUNA KITU CHA 12M FASTA KWAKUWA NI WEWE MWANA-JF MWENZANGU...
ILA KAMA UNATAKA KUNUNUA MKOMALIE ANZIA KIYU YA 10M AKIKOMAA MWAMBIE SPEA ZAKE BEI GHALI SANA NA HAZIPATIKANI..MTAANI INAITWA NDOA YA KIKRISTO HIYO..LAZMA UKIWANAYO KIFO KIWATENGANISHE
Sema uagizaji wa gari toka japan kuja bongo kunakuwa na mlolongo mreeefu, ila ukiangalia web ya be-foreward si bei kivile, ila sasa mpaka uwe nalo hapa ishakuwa balaaaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.