Bei na Soko la ALMASI KWA TANZANIA.

Imany John

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
2,930
1,165
Wadau,
Humu jf ni mahali tunapokutana na watu wa aina tofauti tofauti,na kazi tofauti tofauti,kwa kulitambua ilo ningependa tutumie mwanya huo kujuzana bei ya almasi za kila siku kwa hapa nchini na kujuzana masoko ya almasi katika nchi yetu.

Tujuzane bei ya almasi kwa...

1.carat moja ya almasi kama single particle.

2.carat moja ya almasi kama mjumuiko wa chenga ndogo za almasi.

3.Almasi chafu,yaani ambayo siyo colorless inayoelekea unjano flani.

Nawasilisha.
 
Dahh,

Hii dunia ya Almasi mie ni mgeni kabisa na wala sijawahi hata mara moja kuifuatilia.

Ngoja nisubiri wajuvi wake watasemaje.
 
mjasirimali mm ninayo machine ya kuangalia almasi kama ni ya kweli na bei ya kitanzania nauza laki moja inatumia batterry 1 tu ni nzuri kuwa na nayo

Sawa kaka,nashukuru kwa mchango wako ila kwa sasa natafta soko.kipimn kipo kaka.
 
Mkuu,
Itakuwia Vigumu sana kujua bei ya Almasi kwa mfumo huo kwa sababu ukitaka kununua ni lazima uangalie yafuatayo:- 1) Clarity. 2) Shape. 3) Flawless or inclusions 4)Weight. Nakushauri uje Shinyanga au Ni Pm tuongee.
 
Shimbonini na Imany John,

Jipangeni tu huko na mie nalifanyia kazi hili swala.

Nikipata soko lake basi ntawajulisha. Kwa sasa nipo katika kufuatilia.

Mkuu,
Itakuwia Vigumu sana kujua bei ya Almasi kwa mfumo huo kwa sababu ukitaka kununua ni lazima uangalie yafuatayo:- 1) Clarity. 2) Shape. 3) Flawless or inclusions 4)Weight. Nakushauri uje Shinyanga au Ni Pm tuongee.
 
Mkuu,
Itakuwia Vigumu sana kujua bei ya Almasi kwa mfumo huo kwa sababu ukitaka kununua ni lazima uangalie yafuatayo:- 1) Clarity. 2) Shape. 3) Flawless or inclusions 4)Weight. Nakushauri uje Shinyanga au Ni Pm tuongee.

Wajiolojia wanaziita 4c's
Yani
1.carat
2.cut
3.clarity and
4.color.

Ntakutafuta shinyanga.
 
Back
Top Bottom