Bei imeshuka mpaka tshs 480,000/=

geofreyngaga

JF-Expert Member
Sep 7, 2014
649
939
Set ya Kiti ya 1. 1. 2 pamoja na meza inauzwa bei chee kabisa Kwa tshs 480,000/= maongezi yapo.

Kiti kimetumika Kwa miez 6 kwenye familia ndogo ya baba, mama na Mtoto wa miaka 3 Kwa Hiyo viti pamoja na meza bado vipo safi kabisa.

Nicheki hapa 0652 494919.
 
Attachments

  • IMG-20160113-WA0016.jpg
    IMG-20160113-WA0016.jpg
    87.9 KB · Views: 63
Hiv ni jpm plus mwez dumeee. au mimi na bei zangu za ajabu?
Basi nipe bei inayokupendaza nami nikuachie viti
 
Ni kwa sababu watu wengi hatuna outdoor space ambako viti vya aina hiyo ndio hutumika zaidi. Ila viko poa sana tu mwisho wa siku lazima utauza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom