What about them? Namjua huyo Tucker Carlson na Eric Trump tu.You see what I'm saying?
Angalia orodha ya wale wataoongea kabla ya Trump kutoa hotuba ya kukubali kuwa mgombea wa Republican akiwa na running mate wake JD Vance.
1. Hulk Hogan
2. Dana White
3. Tucker Carlson I mean Tucker Carlson nae ataongea.
4. Mtoto wake Trump, Eric nae ataongea.
The scene is set.
Unaweza ukatupa uthibitisho kwamba kura zimekuwa zikiibiwa.Nadhani hata Uviko kabambikiziwa tu,to them ni kazi ndogo tu,ana mafua wanasema ni Uviko,hawa watu washenzi sana.
All in all,Biden ana-step down.Sorry Dementia Smoky Joe,you have to to go,time is up.
Halafu Democrats ni vipofu kweli kweli,wanataka Kamala apambane na Trump,hamuwezi kabisa,ni mpuuzi mwingine tu,labda waibe kura kama walivyo zoea.Michelle Obama kwa Wamarekani,not a sensible person,would be a better choice.
Angalau Marekani kuna uchaguzi tunapata hata story za kupotezea muda, kwa Putin ni mwendo wa monoparty tu.Nadhani hata Uviko kabambikiziwa tu,to them ni kazi ndogo tu,ana mafua wanasema ni Uviko,hawa watu washenzi sana.
All in all,Biden ana-step down.Sorry Dementia Smoky Joe,you have to to go,time is up.
Halafu Democrats ni vipofu kweli kweli,wanataka Kamala apambane na Trump,hamuwezi kabisa,ni mpuuzi mwingine tu,labda waibe kura kama walivyo zoea.Michelle Obama kwa Wamarekani,not a sensible person,would be a better choice.
Kamala siyo mweusiKuna Wamarekani wengi wazungu ambo sio rahisi kukubali kutawaliwa na mwanamke mweusi far left, na hao ndio wapiga kura wengi zaidi
Ni nani?Kamala siyo mweusi
Kura zinaibwa kila uchaguzi,George bush ushindi wake wote wa magumashi,Obama watu walitaka kubadili tu taswira ya USA ulinwenguni,wakapiga magumashi ashinde,ukitaka kujua huo uchaguzi magumashi ukiachilia mbali electoral college,Yale mabunge mawili hakuna siku chama kimoja kitatawala yote,to keep the balanceUnaweza ukatupa uthibitisho kwamba kura zimekuwa zikiibiwa.
South Asian originNi nani?
Hiyo ni rangi gani?South Asian origin
Multi racial,huyo baba black Wala si black ukimuona,a black drop in USA will make you blackHiyo ni rangi gani?
Baba yake ni black, mama muhindi.
Wewe hakuna unachofahamu kabisa kuhusu Marekani ngoja ubaki tu mtu ambaye akitoka kuswali anaenda kupiga bla blaa kwenye vijiwe vya tangawizi.Kura zinaibwa kila uchaguzi,George bush ushindi wake wote wa magumashi,Obama watu walitaka kubadili tu taswira ya USA ulinwenguni,wakapiga magumashi ashinde,ukitaka kujua huo uchaguzi magumashi ukiachilia mbali electoral college,Yale mabunge mawili hakuna siku chama kimoja kitatawala yote,to keep the balance
Hulk ni wa mieleka tangia miaka ya 80s na huyo Dana ni mmiliki wa UFC.What about them? Namjua huyo Tucker Carlson na Eric Trump tu.
"Yes, Bush v. Gore Did Steal the Election" Yes, Bush v. Gore Did Steal the ElectionWewe hakuna unachofahamu kabisa kuhusu Marekani ngoja ubaki tu mtu ambaye akitoka kuswali anaenda kupiga bla blaa kwenye vijiwe vya tangawizi.