The bold hongera sana kaka kwa kutuletea makala ya ufahamu wapo watakaotumia kila mbinu kukukatisha tamaa lakini usiwajali ndivyo wanadamu walivyo. Wengine hatupati muda wa kupekua kwenye hayo mavitabu na ma Google but unaturahisishia sana na kutupa hamasa ya kujua mengi kuliko tungesubiri kuja kutafuta wenyewe. Big up Bro