the bold shukran sana but kuna uvumi juu ya osama kuhusishwa na CIA kama member ...but it is according to EDWARD SNOWDEN...
usisahahu kutujuza zaidi juu ya huyu nyumbu make nae ni mtata sana na anazidi kuelezea dunia kuw osama bafo yupo hai ukiachilia na ile Death hoax ya america juu ya kifo cha osama....
inasemekana kuwa Rusia bado ina mhabour Edward snowden after his frew away from CIA America..
vip kuna ukweli hapo..??