Asante mkuu nimeshakula kitu roho inapenda naingia road sasa ni mwendo wa gia mpaka lusumo border....usiasahau mkuu hebu pekua pekua kwenye maktaba yako lete kitu ingine ya kushangaza.....ila usisahau kumwambia bashite tunaitaji vyeti haaa haa haa natania mkuu
Umetendea haki utafutaji WA habari na uchambuaji!.
Nadhani kuna haja ya kutengeneza documentarie za matukio tata kama izo!
Am waiting for king maker !.
nimemaliza kula ubwabwa wa mama jogookoko, naoga kwanza, nimeishatoa amri watoto wote kulala,maana sitaki kelele na bugdha then navuta glasi ya sharubati tarakilishi pajani, nianze kukusoma