Behind the curtain: September 11

Brother [HASHTAG]#The[/HASHTAG] bold una staili heshima aseee maana kutafsiri kitabu cha historia ya tukio kutoka kiingereza hadi kiswahili sio kazi rahisi......dah naona kazi ya [HASHTAG]#EDWARD[/HASHTAG] SNOWDERN
Mkuu anachofanya The bold ni zaidi ya kutafsiri. Ingekuwa ishu ni kutafsiri tu basi tungekuwa na kina The bold kama mia humu ndani. Kwangu mimi The bold ni the truth seeker anayepita kwenye vyanzo vingi kuutafuta ukweli na kuuweka katika makala moja inayoeleweka. Ni kipaji.
 
Mkuu The Bold.
Mtunzi wa family Guy Seth McFarlane hakufa kwenye tukio hili bali alinusurika baada ya kuamka na hangover akachelewa flight yake.
 
Yaaani The Bold tuache utani, unanikumbusha mbali na huu uraibu wa stori zako, unajua miaka flani iv niko primary kulikua kuna kipindi cha mama na mwana kinarushwa na RTD yaani radio tanzania dar es salaam kikihostiwa na Eda sanga na wenzake wengine nishawasahau basi walikua wanakirusha saa saba mchana yaani nikajikuta siwezi kukikosa hicho kipindi na zile hadithi za Bibi Aga, ndivyo ilivyo sasa na mastori yako na maarifa yangu yote najikuta na tumbua mimacho nikisoma hizi stori na wakati nilisha jizuwia na uraibu wa tamthilia za kikorea na kimarekani kwa kua zinanitupia mda sana ila all in all hongera wee unajua kweli.
Ushauri: kua makini na masuala ya umiliki wa kilicho chako maana wa tz hawakawi kuipublish halafu wakajimilikisha.
 
Please naomba unitag please kwenye mwendelezo unaofuata..!
 
Shukrani sana mkuu The Bold,nafatilia kwa karibu sana.ukweli uko vizuri,unanikumbusha enzi za mtunzi mahiri ELVIS MUSIBA (R.I.P)na vitabu vyake kumuhusu Willy Gamba.
 
we bold mbona watoa mambo kdg kdg toa wala sehemu mbil wakat mmoja....bado nasubr kwann Usama aliondoa Bank of america hisishambuliwe sababu nn?? Badi nataka kujua anaitwa usama Au Osama??
 
Brother [HASHTAG]#The[/HASHTAG] bold una staili heshima aseee maana kutafsiri kitabu cha historia ya tukio kutoka kiingereza hadi kiswahili sio kazi rahisi......dah naona kazi ya [HASHTAG]#EDWARD[/HASHTAG] SNOWDERN
Shukrani sana kiongozi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…