Hawa Wamarekani Mabwege sana sana!
Vijana walitaka kufundishwa urubani chap chap bila ya kufundishwa kutua na kurusha Ndege kwa kuwa walijua lengo Lao ni kuzichukua Ndege angani baada ya kurushwa na kwenda kuzibamiza majengoni hakuna haja ya kujifunza kuzitua
Kuna Kitabu kinaitwa 'Bush at war ' ni hataree sana hakijaacha kitu atakaefanikiwa kuzuru Maktaba za Kimataifa akitafute