Yaani jf hata kama ulikua unajieshimu unaeza anza kutukana tena matusi ya nguoni!! Hili jambo la mtu mzima kuquote Uzi mzima afu anamalizia na vineno vinne au hata nae anamaliza na maneno kibaooo! Yaani inakera sana aisee, ikizingatiwa kwamba ishalalamikiwa sana ila watu wanarudia tu!!!