Behewa za SGR zimekamilika

Mbona demonstration ya SGR NI tofauti na reality, Kwann wameshindwa kutuletea mabehewa ya kisiasa.
Na ndio maana wenye mabasi bado wanazidi tu kuagiza mabasi , wanajua hawana mshindani
 
Haya mabehewa yangetengenezwa uturuki Tu , pengine yangekuwa mazuri, sijaona sababu ya kwenda korea kutengeneza mabehewa Kama yadizel ya nchini kenya
 
Haya mabehewa yangetengenezwa uturuki Tu , pengine yangekuwa mazuri, sijaona sababu ya kwenda korea kutengeneza mabehewa Kama yadizel ya nchini kenya
Kwa kifupi miradi aliyoiacha Jpm imewashinda hapo wanajilazimisha tu kuifanya
 
Madirisha ya haya mabehewa yamenikumbusha mabasi ya Railways (RAB) ya 1970's
 
Tuliambiwa tungeletewa mabehewa used Sgr ianze kazi lkn kimya hakuna taarifa yoyote nchi ngumu sana hii.
 
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa, ametembelea nchini Korea katika kampuni ya SSRST kuona ukamilishaji wa utengenezaji wa behewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…