Behavioral characteristics between women and men

Mimi girlfriend wangu nimeifunga AC yake ya fb kule si kwa kumwachia mkeo kama unampenda
Kwanza mzee huyo mwanamke wako hadi huko ana ac, umekwisha.. Me napenda sana mwanamke anaejua mwisho whatsapp tu.. Ila hawa wanaojua fb twita sijui hitwa Ig mara snapchat..

Siwataki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke anamsamehe mwanaume wake hata akimfumania kwasababu hapendi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwanaume hujifunza kumpenda aliemtamani ila mwanamke hujifunza kumtamani aliempenda(wanaume tunaanza kutamani upendo tunakutana nao njiani ktk mahusiano ila mwanamke huanza kupenda then hufatia kumtaman aliempenda)
mwanaume huangalia nafasi(mahali) ya kufanya ngono ila mwanamke huangalia sababu ya kufanya ngono(hii unaweza kuona mtu yuko na mkewe mzuri na mwenye kila sifa kamuacha ndan ila kaenda kumuinamisha mdada wa hovyo kichakani,hyo ndo akili zetu wanaume maana tuna vichwa viwili cha juu na kile kilichobebwa na konga,kile kilichobebwa na konga kikisimama bac kitakuongoza mpaka kilale ndo kile kichwa cha head kifanye kazi),huwa tukimaliza ndo tunajishangaa na kujilaumu
 
Yap yap kweli bhana jamaa kajichanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…