kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,993
Hatari mkuujana nimetengeza akaunti fake ya kike kwenye mtandao wa hitwe wanaume 100 wakaja inbox ndani ya saa 1 sasa nikajiuliza hivi mim mwanamke wangu kweli anakataa wote wanaomtomgoza kisa mimi msukuma
Hakuna mwanaume ambaye hatombe_wi demu/mke wake..wanawake ni hatari sanajana nimetengeza akaunti fake ya kike kwenye mtandao wa hitwe wanaume 100 wakaja inbox ndani ya saa 1 sasa nikajiuliza hivi mim mwanamke wangu kweli anakataa wote wanaomtomgoza kisa mimi msukuma
Hahaha ila siku nikija kujua tutagawana majengo ya serikaliHakuna mwanaume ambaye hatombe_wi demu/mke wake..wanawake ni hatari sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukioa jiandae kisaikolojia mkuu, kuchapiwa ni siri ya ndani[emoji23][emoji23]
Ukioa jiandae kisaikolojia mkuu, kuchapiwa ni siri ya ndani[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Point of correction.. wanaume hawapendagi wanatamani tuWakuu Leo zitambue tofauti za kitabia Kati ya mwanaume na mwanamke hizi hapa chini
Mwanamke hawezi kukupenda bila sababu ya msingi Wana sababu za kukunok, lakini mwanaume yeye ni kiumbe cha Ajabu anaweza penda mke bila sababu yeyote Ile hii ni kwa sababu wanawake wanaongozwa na hisia lakini wanaume wao hutamani tu ndio Maana Wana uwezo wa kupenda pasipo na sababu.
Mwanamke anaweza kumfanyia mwanaume vituko mwanaume akavumilia tu siku nyingi Sana lakini mwanaume yeye anapokuja kujibu mashambulizi mwanamke dakika Ile ile anahisi anaonewa anasahu Kua yeye ndie mwanzo wa vurumai zote, hapa wanawake kueni makini mwanaume akikuchoka hapa umkalishe vikao chini ya Adolf hitila hawezi geuza msimamo
Wanaume hawana uwezo wa kuvumilia kubaki na upweke ndio Maana akiona nyumbani hapasomeki tu siku Ile ile plani yake kutafuta mchepuko pembeni ajifariji lakini mwanamke yeye anauwezo wa kuvumilia unaweza mkawa na vurugu nyumbani sio rahisi atoke nje ya ndoa upesi upesi.
Zingine zinakuja wakuu................. Ama unaweza floo hapa chini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna usemi unasema ukimwona mwanaume analia ujue Kuna jamboMwanamke anaweza akalia uongo kabisa lakini mwanaume siyo
Point of correction.. wanaume hawapendagi wanatamani tu
Be Humble is free of charge [emoji873]
Point of correction... wanaume hawavumiliagi, wanawake ndio mabingwa wa kuvumilia. Kama huamini mkeo achepuke uone kama utamvumilia. Mwanaue anaweza kufanya vituko lukuki hata kuonyesha dalili kwamba hampendi mke/ gf wake lkn bado mke/ gf atavumilia akiamini ipo siku atabadilika
Be Humble is free of charge [emoji873]
Mkao wa popo kanyea mbingu[emoji23][emoji23]Ila kiukweli inauma Sana yani Ile unaanza ku imagine alitegwa pozi gani
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ila kiukweli inauma Sana yani Ile unaanza ku imagine alitegwa pozi gani
Sent using Jamii Forums mobile app
jana nimetengeza akaunti fake ya kike kwenye mtandao wa hitwe wanaume 100 wakaja inbox ndani ya saa 1 sasa nikajiuliza hivi mim mwanamke wangu kweli anakataa wote wanaomtomgoza kisa mimi msukuma