Bega na ubavuni panauma kwa kushirikiana

Unafanyaga mazoezi ya viungo,!?

nilifanyaga zile push up za kuweka miguu juu ya kitu mfano sturi, baada ya mwili kukataa nikaacha, sasa hili tatizo la kuuma mbavu na bega likaniganda kwa wiki mbili hivi baadae likawa kama kimeisha, nimekaa kwa muda mrefu sasa limeanza tena na safari hii mabega yote mawili ila mbavu ni ya kushoto tu, wakati mara ya kwanza ilikuwa bega na mbavu ya kushoto tu.
 
Back
Top Bottom