Yesu na maria Mlachake leo utakua wapi tu Jamani?
hahahahahahaha ukitaka kumjua mchaga mwekeee bulungutu tu
cc miss chagga
ujamalizia burungutu la nini? mwambie burungutu la hela
hahahahahahaha kumbe kuna mabulungutu ya aina nyingi eeeeeh
kuna mijitu mingine inajisifu na maburungutu ya mapenzi, makiss, ya kugegedana
hahahahahahahaaha miss chagga wewe wataka ya mapesa tu
pesa mbele mambo mengine badae
hahahahaha unajikosesh uhondo