Kozi ipo chuo kikuu cha Dodoma na chuo Kikuu cha Kumbukukumbu ya Sebastian Kolowa (SEKOMU) japo kwa sababu za kisiasa kimefungwa, na wanafunzi wamehamishwa UDOM.
OK, kozi hii ni sehemu ya Kozi ya Psychology, Mwanafunzi atasoma Lugha ya ishara kwa ajili ya watu wenye shida ya Usikivu, lakini atasoma BRAIL COURSE (mashine ya Kuchapia kwa vipofu) wa ajili ya uono.
Kwa chuo kikuu cha Dodoma Utasoma Miaka Mitatu, ukiwa na somo moja la kufunzia. Kozi zitakazobaki ni zile za profession ya ualimu na saikolojia kwa watu wenye uhitaji maalum
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa chuo kikuu cha Dodoma Kozi hii ni Very Partial, na wala hau specify unasoma nini haswa (ulemavu gani)
Chuo kikuu cha SEKOMU kozi hii ilikuwa ni kozi kuu, na mwalimu husoma Kiundani ulemavu mmoja kati ya uono au usikivu. Majukumu makubwa ya mwalimu, baada ya kozi hii, ni kufundiasha watu wa namna hii, kuwasaidia kwa namna nje ya kufundisha, kutengeneza mitaala ya watu wenye uhitaji maalumu, kulea na kutunza watu hawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
UDOM sio specialist institution ya walemavu kama ilivyo SEKOMU. Namna unavyojifunza ni kwamba unasoma General course bila ubobezi mahsusi kwenye aina gani ya ulemavu unasomea.Shukrani ndugu. Ila naomba ufafanuzi unaposema hii kozi kwa Udom unasoma partially (hauchimbui kiundani)inamaanisha utasoma kufundisha aina zote walemavu bila kujikita mahsusi kwenye hizi kuu zinazohusiana na wasioona na kusikia au ni kwamba utahitimu bila kujua una weledi wa kufundisha walemavu wapi? unamaanisha nini hasawa?
Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka nimeweka kidogo, vikubwa zaidi wataleta wengine ndugu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa sasa course hii iko vizuri UDOM imefanyiwa marekebisho makubwa ni kweli kwa UDOM hakuna kwamba unakua spesho kwa kipofu au kiziwi nafikiri hii ni bora sababu ukipelekwa kwenye viziwi utamudu pia kipofu utamudu huu ndio uzuri wa UDOM,nilisoma hii course hapo.UDOM sio specialist institution ya walemavu kama ilivyo SEKOMU. Namna unavyojifunza ni kwamba unasoma General course bila ubobezi mahsusi kwenye aina gani ya ulemavu unasomea.
Yaani per semester unaweza kusoma kozi mbili za uono na usikivu, kwa hivyo unaiuwa sio mbobezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni Classroom management skills ambapo ujuzi huu unapelekwa kwa walimu wote bila kujali anasomea watu wenye uhitaji maalumuPia tunaambiwa siku hizi madarasa yanafanywa mseto (walemavu na wasio na ulemavu darasa moja) kama ushawahi kuhudumia darasa kama hili nisaidie kujua ufundishaji unavyofanyika mfano labda darasa lina wanafunzi wasioona na kusikia na ambao hawana shida na waalimu mko wawili ndani ya darasa, mwalimu wa kawaida na wewe mwalimu wa wenye uhitaji maalumu,sasa hapo anayefundisha mada ni huyu mwalimu wa kawaida alafu wewe kazi yako tu ni kutafsiri anachofundisha kwenda kwenye lugha ya alama au kila mtu anafundisha kivyake?
Hali ya kumudu hizo zote kwa wakati mmoja ni ngumu sana, japo lengo lao ni zuri lakini hawajaliwekea mikakati dhabiti ya kumjenga mwalimu aweze mudu watu wote hao.Mkuu kwa sasa course hii iko vizuri UDOM imefanyiwa marekebisho makubwa ni kweli kwa UDOM hakuna kwamba unakua spesho kwa kipofu au kiziwi nafikiri hii ni bora sababu ukipelekwa kwenye viziwi utamudu pia kipofu utamudu huu ndio uzuri wa UDOM,nilisoma hii course hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
UDOM sio specialist institution ya walemavu kama ilivyo SEKOMU. Namna unavyojifunza ni kwamba unasoma General course bila ubobezi mahsusi kwenye aina gani ya ulemavu unasomea.
Yaani per semester unaweza kusoma kozi mbili za uono na usikivu, kwa hivyo unaiuwa sio mbobezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu za usimamizi wa chuo, rushwa n.k zilisababisha chuo kufungwa.Ooh sawa. Nadhani hapa ni swala la chuo husika kujiboresha zaidi kukidhi uhitaji wote wa kada hii au hata kuiga yaliyokuwa yanatolewa na sekomu kule lushoto japo mpaka leo sijajua TCU waliwakuta sekomu na mapungufu gani ambayo hayarekebishiki na chuo kikafunguliwa ili kiendelee kuzalisha walimu wa kuhudumia kundi hili la kipekee kwenye jamii yetu na ambalo mara nyingi limekosa fursa ya elimu hasa elimu ya secondary na ngazi za juu. Kwa jitihada za sekomu kuwa chuo cha kwanza kutoa taaluma hii kwa ngazi ya shahada ingefaa kuwatia moyo na si kuwafungia.
Mkuu kwa sasa course hii iko vizuri UDOM imefanyiwa marekebisho makubwa ni kweli kwa UDOM hakuna kwamba unakua spesho kwa kipofu au kiziwi nafikiri hii ni bora sababu ukipelekwa kwenye viziwi utamudu pia kipofu utamudu huu ndio uzuri wa UDOM,nilisoma hii course hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee umenikumbusha nukta Nundu....braill dots.
Mikato na kadhalika
Sent using Jami c xxi Forums mobile app